Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kuna geti, uzio mkubwa, parking. Laki 4 kwa mwezi kwa picha zaidi.
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Hello friends, Naomba nitafutie VX au GX iliyo katwa juu kama hizo gari za utalii! Land-cruiser ya kunua bajet yangu milion 25: (Please niyaraka nitashukuru kwa ushirikiano wako mtanzania...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nina dharura duka gani naweza pata au phamacy kwa hapa Dar please. Nina mzigo wa maana sana!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa form 5 na 6 Kwa masomo ya History, Kiswahili, Geography, GS na English language... Tupo Kinondoni Mwananyamala mkabala na mahakama. Kwa maelezo zaidi 0653 250 566 0754 895 321
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Naomba wadau mnijuze Kati ya tractor za Suma JKT New Holland zina ubora, maana nataka kununua naomba ushauri kwa mafundi nilikuwa nataka kununua HP 75.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hii ni kwa wote siku hizi mwanza mgao wa umeme umeanza hili suala inabidi hata raisi JPM aliangalie kwakweli kwasababu wananchi ndo tunateseka kwakweli hii hali sio nzuri
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Viwanja vinauzwa (surveyed plots), vipo Km 20 kutoka Kigamboni, na Km 2 toka barabara ya lami; Mtaa wa Malimbika karibu na ECO VILLAGE DEGE; umeme upo karibu (800 meters); maji unachimba kisima...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Viwanja vinauzwa (surveyed plots), vipo Km 20 kutoka Kigamboni, na Km 2 toka barabara ya lami; Mtaa wa Malimbika karibu na ECO VILLAGE DEGE; umeme upo karibu (800 meters); maji unachimba kisima...
0 Reactions
0 Replies
924 Views
Habari wana JF. kwa mwenye uhitaji wa Sato fresh kutoka fish farming wanapatikana. Ni fresh kabisa unavuliwa from pond. wana size nzur kuanzia gm 500-700. wapo kidugalo eneo la ruvu. kuna kg zaid...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TOYOTA VITZ Bei: 5,300,000 (INAPUNGUA KIDOGO SANA) Mwaka: 2000 Aina ya Mafuta: PETROL Umbali: km 156,000 Injini (cc): 990 Transmission: AUTOMATIC IMELIPIWA VIBALI VYOTE FULL AC NA MZIKI SAFI SANA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nauza huawei y530 kwa 120000 wahi sasa bei sawa na bure nichek 0714342650
0 Reactions
0 Replies
754 Views
Kiwanja kinauzwa Goba Msigani. Ukubwa wake ni Meter 37 x 20 si mbali na barabarani kimepimwa na kina hati. Bei Milioni 30 PM kwa mazungumzo
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ipo ktk eneo lenye 867 sqm ni ghorofa moja ina vyumba vya kulala 4, na facility zingine.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
1.plot iko bahari beach ukubwa 3468 sqm,hati zipo $500,000 2.plot iko mwenge karibu na mlimani city ukubwa 600sqm sh.350m 3.plot iko mbezi mwisho karibu na kituo kipya cha basi 600sqm sh.120m...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
TOYOTA IST FOR SALE..... T702 CSC YEAR 2003 75,000km white with black sports rims 8,500,000 tshs if you serious and pictures contact: 0714876647 0682942622
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ukubwa wa kiwanja ni robo heka au zaidi. Sqm 1200 Bei ni milioni 22. Kiwanja kipo chuwini njia ya kwenda mangrove. Kutoka kwenye kiwanja ni mwendo wa dk 10 tu hadi baharini. Kiwanja...
1 Reactions
21 Replies
5K Views
Tunainstall system automatic kwa ajili ya kumwagilia bustani unaweza pia kumwagilia bustani yako kwa remote au simu yako ya smartphone tembelea Addo T.inc au wasiliana kupitia namba 0715210298
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF Kama juu kichwa kinavyosema. Nahitaji used solar panel. Sema unayo ya watt ngapi na unauza shi ngapi. Namba zako pia muhimu Nipo Dar ( Gongo LA mboto )
0 Reactions
0 Replies
869 Views
Wadau wa jamvi hili. Habarini za muda huu. Ninaomba kama kuna mtu anayejua sehemu hapa Dar panapouzwa speaker za ukutani au za kwenye ceiling board hapa Dar aniambie.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Gari aina ya Toyota Vitz yenye namba CJQ inauzwa,iko kwenye hali nzuri kabisa na ina mmiliki mmoja tu tangu iliponunuliwa.Bei ni sh.5.8M ila inaongeleka,kwa yule serious buyer anicheck kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…