Natafuta gari ndogo isuzu carry(kirikuu)

imanihope

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
384
Reaction score
98
Natafuta gari tajwa hapo juu number kuanzia C iwe katika hali nzuri....bajeti yangu 5 million ....0713715772
 
Kweli unaweza kupata kwa bajeti yako hiyo ila angalizo!!!! Sisi wabongo mara nyingi japo sio mara zote huuza vitu vyenye ubovu tayari. Sawa utanunua kwa bei ndogo lkn itakugharimu matengenezo kila siku. Ushauri wangu, ongeza ifike m7 ununua toka Japan gari ambalo litakuwa na cheti toka shirika maalumu la ukaguzi wa magari EAA, nakwambia hautajuta. Na kama huwezi wewe mwenyewe kuagiza, wapo mawakala wa kuwaagizia watu magari na bidhaa zingine, watakuchaji malipo kidogo www.kalumbilo.online
 
Naomba Tuwe wawazi tunaposhauri, 7m ni ngumu kupata kirikuu, labda kama haihusishi agency fee, insurance na registration. Mfano CIF ya kirikuu iliyochoka Japan ni dola 1,400 (Tshs.2,900,000), ushuru including uchakavu TRA Tshs.3,8000, Registration Tshs.320,000, port charges 115,000, shipping line 180,000, agency fee 250,000, insurance 3rd party 118,000. Bado kama mtu amesimamia mchakato mzima atataka umtoe. Budget ya 7m sio realistic utataka kumpa stress mwenzako bure utakapo omba hela ya ziada kuwa clear hiyo iliyozidi, na Mwisho wake utaonekana mpigaji au tapeli. Ingawa naungana nawe kumshauri aachane na habari ya kununua kwa mtu.
 
Kweli unaweza kupata kwa bajeti yako hiyo ila angalizo!!!! Sisi wabongo mara nyingi japo sio mara zote huuza vitu vyenye ubovu tayari. Sawa utanunua kwa bei ndogo lkn itakugharimu matengenezo kila siku. Ushauri wangu, ongeza ifike m7 ununua toka Japan gari ambalo litakuwa na cheti toka shirika maalumu la ukaguzi wa magari EAA, nakwambia hautajuta. Na kama huwezi wewe mwenyewe kuagiza, wapo mawakala wa kuwaagizia watu magari na bidhaa zingine, watakuchaji malipo kidogo www.kalumbilo.online
Kuanzia mwenyewe kirikuu uwe na 7.8mln

Ovaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom