Kwani ukitumia Carina/OPA/IST/SUZUKI nk hautafika unapotaka kwenda? AU pesa zinawasha unataka umalize zote?
Sina hakika kama utakuwa na bajeti ya kukodi hiyo gari?
Any way maisha ni uchaguzi ila watanzania wamezidi kuigiza maisha!!!!!!!!!!!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.