Plot For Sale "Surveyed"

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Jan 29, 2013
1,287
486
Kiwanja kina Ujazo wa Sqmt 1111, kipo Maeneo ya Buyuni Ilala.
Kina miundo mbinu yote papo hapo, barabara na Nguzo ya Umeme.
Pia pembe za kulia na kushoto kimezungukwa na nyumba za Mradi za PSPF.
Umbali kutoka Barabara ya Lami ni 2.4kms.

NB: kiwanja Hakina Deni la kodi(Ardhi)

Hati safi ipo(Clean tittle deed)

Price: 35M Bila Mazungumzo.

Karibuni.
 
No, hakuna Bar Wala Kanisa karibu na hicho kiwanja. ni Maeneo ya Makazi tu. Residential Area.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom