Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Husika nakichwa cha habari tajwa, nauza oven mpya kabisa kwa Laki mbili na 20.no.yangu 0744089442
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salama wakuu; Ninauza kiwanja/shamba. Ukubwa ni SQM 400 Eneo kilipo ni Bunju B, Bei ni 4M. Kiwanja kipo sehemu nzuri, maji yapo, umeme nao tayari umeshafika eneo husika. Kwa anayehitaji...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nipo Kinondoni studio bei inapungua0712505049 ni elfu 70 kwa moja.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau, Nahitaji matofali ya Kuchoma (Sio Inter-locking) kwa ajili ya kujengea mabanda ya mifugo maeneo ya Mbutu-Kigamboni. Matofali haya ni yale yanayopatikana kwa kuchomwa tofali la udongo na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau kwa anayehitaji shamba kwa ajili ya kulima nakodisha.Msimu ushafika kwa wilaya ya Handeni tunaanza kulima mwezi ujao. Iko kuanzia heka 1 mpaka 10 au ukitaka zaidi, liko sehemu moja. kwa...
1 Reactions
15 Replies
9K Views
Natafuta nyumba ya kupanga, Maeneo - Kijitonyama, Kurasini, Mbezi Beach, Tankibovu, Mikocheni, na Msasani Sifa, Chumba - 1 au 2, Sebule, Parking Bajeti - Laki 2 hadi 2.5.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
500GB.mint condition,slim and portable...bei 120,000/=MAELEWANO YAPO...0719440158
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Natafuta nyumba ya kupanga chumba na sebule maeneo ya Kinondoni au Magomeni. Nyumba iwe ndani ya fensi.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
lenovo Ram 4Gb Hdd 320 Wifi BLUETOOTH Web camera Betre 3-4hrs Window 8 size 12.5 processor core i5 bei 470,000 0712191251
0 Reactions
0 Replies
580 Views
Salaam...Nauza Samsung 51 inches PDP TV...Slim body..HDMI...USB.Series 4 iko na box lake .Imetumika kama mwezi 1.Bei Laki 950.Namba 0655350000
0 Reactions
0 Replies
847 Views
Imetumika wiki 2, literally bado mpya. Jipangie Bei:
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nissan Almera for sale for 4.8 m Specs 2003 yr Cc1700 Km110,000 5Doors Automatic In Good condition Contact me through 0659 594 994 or pm
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza camcorder ya canon MVX3i ipo katika hali nzuri kabisa haina tatezo lolote. Bei ni 450,000/= (Laki nne na nusu)
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Natafuta nyumba maeneo hayo hapo juu yaani knyama au Ubungo, Two bedrooms tafadhali mwenye kuwa na taarifa tujulishane
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Closed
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Imetumika wiki 2, literally bado mpya. Jipangie Bei:
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Nauza Samsung Note1. Its as good as new.. Bei ni 250,000. For more details utanipata kwenye hii namba: 0712 220 207
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mradi wa kuwawezesha wanawake kiuchumi kupitia tasinia ya urembo ujulikanao kama Manjano Dream Makers hatimaye umefika Mwanza. Wataalamu wa maswala ya biashara na urembo wataendesha mafunzo wiki...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mashine ya Kisasa ya kuchomea Kuku 12kwa mara moja inauzwa tshs780,000/= inatumia Umeme. Bado ipo kwenye hali nzuri kama inavyoonekana kwny picha Nicheki hapa 0652 494919
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau, Nawezapata Toyota Probox ya 2006?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…