idrisabizzy
Senior Member
- Dec 5, 2015
- 112
- 48
Natafuta nyumba ya kupanga chumba na sebule maeneo ya Kinondoni au Magomeni. Nyumba iwe ndani ya fensi.
Charambe sehemu Gani na kiasi kwa mwezi?ipo mbagala charambe
Tabata segerea je hutaki?Charambe sehemu Gani na kiasi kwa mwezi?
Naomba bei, ila nahitaji kurelocate on marchTabata segerea je hutaki?