Abarini wana JF, leo nimekuja na mpya kuna FRIZA inauzwa, mwenyew kapatwa nashida... inataka laki 3 na Nusu. pia kuna sim Windows phone, Model Microsoft Lumia 535 Dual sim. inataka laki 2 na nusu...
Hello wanajamii,
Nina pangisha frem ya biashara eneo la manzese midizini, ni frem mpya na ipo barabarani kabisa njia ya kuelekea buguruni kupitia mburahati, biashara yeyote ile halali inafaa bei...
Ninauza Shamba langu lipo Fukayosi lipo mita 200 tu kutoka barabara kuu ya lami iendayo Msata.
Shamba lina ukubwa wa Ekari 5.
Limepimwa. bado kupata Hati.
Bei ni Tsh 2m@ Eka.
Napenda niuze zote...
#PVC pamoja na kamba ya kitambulisho iliyoprintiwa Tsh6000
#PVC pamoja na kwamba ya kitambulisho ambacho hakijaprintiwa Tsh5000
#PVC bila kamba Tsh4000
Kuna aina nyingine ya vitambulisho inaitwa...
Hey! Get instant FREE coupons now. Click Register to download StarTimes App for Free online Videos and Live Matches. Don’t forget to enter my invitation code 208554 when you register.
Jipatie selfie stick kwa bei poa sana, kwa shilingi 10000 tu jiseldishe ki 2016 na selfie stick ya monopod.
Hii ni rahisi kutumia na haihiitaji mbwembwe nyingi..
Wasiliana nami kupitia 0786371108...
Habari Jf!
Sisi tunajishughulisha na ununuzi na usafirishaji wa mali kutoka UK.
Tunaweza kukununulia na kukusafirishia chochote kutoka UK , kwa gharama nafuu kabisa! Tuna ofisi na maduka yetu...
Nauza digital camcorder mbili kwa pamoja sony DCR-TRV10E na canon MVX3i ziko katika hali nzuri lakina canon ina tatizo la sauti speaker na microphone haifanyi kazi lakini una weza kutumia...