43s4all
Member
- Aug 8, 2009
- 93
- 14
Nauza digital camcorder mbili kwa pamoja sony DCR-TRV10E na canon MVX3i ziko katika hali nzuri lakina canon ina tatizo la sauti speaker na microphone haifanyi kazi lakini una weza kutumia external microphone itafanya kazi.Bei laki nne na nusu TZS 450000