Nauza Shamba Fukayosi

badspender1

Member
Apr 22, 2014
74
6
Ninauza Shamba langu lipo Fukayosi lipo mita 200 tu kutoka barabara kuu ya lami iendayo Msata.

Shamba lina ukubwa wa Ekari 5.
Limepimwa. bado kupata Hati.
Bei ni Tsh 2m@ Eka.
Napenda niuze zote kwa mtu mmoja.
contact: 0756 178 494
only phone calls no pm please.
 
Limewahi kulimwa mazao gani before?
Liko karibu na chanzo cha maji (i.e mto, Bwawa n.k)?
Tueleze kuhusu eneo lake kama ni tambarare au lina milima?
 
Limewahi kulimwa mazao gani before?
Liko karibu na chanzo cha maji (i.e mto, Bwawa n.k)?
Tueleze kuhusu eneo lake kama ni tambarare au lina milima?

Shamba lipo tambalale hakuna mabode. Linafaa kulimwa mananasi au kupimwa viwanja maana hapo ndio mjini kabisa umeme wa REA upo jirani.
Kwa sasa sijalima kitu niling'oa visiki mwaka jana.
 
Halipo kwenye ramani ya bomba kubwa la maji ya Dawasco, gesi,Tazama au EPZ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom