Farudume12
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 621
- 346
Abarini wana JF, leo nimekuja na mpya kuna FRIZA inauzwa, mwenyew kapatwa nashida... inataka laki 3 na Nusu. pia kuna sim Windows phone, Model Microsoft Lumia 535 Dual sim. inataka laki 2 na nusu. 250000. kwamaelezo zaidi wasiliana nami kwenye namba 0763142536. nimeshindwa kuweka picha coz sina Application ya JF. KARIBUNI.