Bajaji ni mpyaa ina mwezi mmoja (1) barabarani.
Haina hata tone la mchubuko
Vibali vyote vimo kutoa Sumatra.
Bei 5.9M
Bajaji ipo Dar es salaam...
Maelewano yapo........
NI PM TUFANYE BIASHARA
Nauza gari aina Toyota Sienta ya mwaka 2004 Rangi Metallic nyeupe ambayo bado haijasajiliwa, Gari ina DVD radio, ina Camera ya nyuma inakusaidia kuona ukiwa unarudi nyuma, ina nakshi ya fomaica...
Nauza Tv yangu aina ya Samsung inch 21 iko flat kwa mbele and its almost new. Bei ni laki mbili nanusu.. Maongezi yako.. Nicheki kwneye hii namba 0712220207 kama uko intrested
Habari wana JF kama unapenda kuwa na followers wengi kwenye akaunti yako ya instagram au labda ungependa kupata akaunt mpya ya instagram yenye followers wengi wasiliana nami nitimize hitaji lako...
Je, mwanao anatatizo hili?
Wazazi wengi wamekua wanasumbuka na watoto wao bila kupata suluisho juu ya hamu ya kula(appetite).
Kwa mujibu wa takwimwi zilizo fanyika hivi karibuni ni kwamba 40% ya...
Habari wana ndugu wa jf,natumai ni wazima tena wa afya na mimi hiyo ndio furaha yangu.kikubwa nimekuja kuwatangazia kuwa sasa tumeanza kutowa huduma nyingine,na tumeanza kutowa huduma hii ni...