Sasa tumeongeza huduma zetu hadi hii tunatowa

tawa driller

JF-Expert Member
Dec 11, 2015
296
152
Habari wana ndugu wa jf,natumai ni wazima tena wa afya na mimi hiyo ndio furaha yangu.kikubwa nimekuja kuwatangazia kuwa sasa tumeanza kutowa huduma nyingine,na tumeanza kutowa huduma hii ni katika harakati za kutafuta fursa na kuikamata na pia ni katika kuisaidia jamii ya kitanzania juu ya masuala mazima ya ujenzi.Mwanzo tulikuwa tunatowa huduma za uchimbaji wa visima na ufanyaji wa utafiti wa maji (ground water survey and water well drilling) pia tulikuwa tunafanya shughuli zoote zihusuzo pump yaani installation and repairing.Sasa tumeamuwa kupanuwa wigo wa utaoaji wa huduma.

Peving block:

Ni matumaini yangu kila mtu anakifahamu hicho kitu tajwa hapo juu.
Nyumba hadi ipendeze kuna vitu vingi saana vinavyofanya ipendeze kimojawapo ni suala zima la Land scaping.Na unapo zungumzia Land scaping utazungumzia kuweka peving block na gardening.sasa sisi tumeamuwa kwa sasa kujikita kwenye hii kitu ya peving block.

Huduma tuzitoazo kuhusiana na inshu hii ya peving block.

1: Tunatengeneza (kufyatuwa) aina mbalimbali za peving block
2: Tuna viweka (kupanga au kutandaza) hizo peving block

NB: hatuuzi peving block,bali tuna tengeneza hizo peving kwa oda maalum kutoka kwa mteja tena tuna tengenezea moja kwa moja hapo hapo site.

Bei za utengenezaji:

Bei zetu za utengenezaji wa peving unategemea na mfuko wa sementi.bei yetu ni mfuko mmoja wa sement tunafatuwa kwa shillingi elfu kumi kamili.Na mfuko wa sementi mmoja tunatowa peving mia moja na hamsini hadi mia hamsini na tano(150-155) hapo zikiwa imara yaani zimeshiba sementi,mchanga na pia maji yakutosha.

Bei za kupanga,kutandaza au kuweka.

Kwenye suala hili la kuvipanga hivi vi peving block bei yetu ipo juu ya peving moja. Na bei ya kupanga peving moja ni tsh 150.bei hiyo inahusisha pamoja na mashine ya kushindilia itakuwa ni juu yetu. But kama ukitaka kupangiwa peving bila ya mashine ya kushindilia tuta kufanyia kwa shillingi mia moja (100).

Mteja wetu unaweza ukanunuwa peving block sehemu nyingi yoyote na ukatuita sisi tuje tuvipange kwa ardhi.

Angalizo:

kabla ya kufatuwa peving tutatakiwa kupima eneo lote utakalo taka kuweka hizo peving ili kujuwa ukubwa wa eneo na idadi ya vitofali vitakavyotakiwa kutengenezwa

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0628080096

Thanks in advance na karibuni tuwahudumie
 
Back
Top Bottom