don franco
Senior Member
- Jul 16, 2013
- 142
- 237
Natafuta kiio cha simu tajwa hapo juu na fundi wa uhakika na mwenye uzoefu.simu inaonesha ila kioo kina cracks
Nenda Kariakoo mtaa wa Aggrey, uliza fundi simu aitwae Adamu, atakuwekea, ana hivyo vioo.Natafuta kiio cha simu tajwa hapo juu na fundi wa uhakika na mwenye uzoefu.simu inaonesha ila kioo kina cracks