Nauza followers wa Instagram

Nauza followers wa Instagram

PlayBoyMwema

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
1,716
Reaction score
1,842
Habari wana JF kama unapenda kuwa na followers wengi kwenye akaunti yako ya instagram au labda ungependa kupata akaunt mpya ya instagram yenye followers wengi wasiliana nami nitimize hitaji lako kwa bei poa kabisaa... Unaweza kuwasiliana na mimi kupitia whatsapp kwa namba hii hapa 0673-659759...wote mnakaribishwa
 
Hivi hii nchi imefika huku ipo siku utakuja kujiuza na ww
Ha ha haaaah aise dah, hii nikienda likizo kijijini lazima nikawasimulie hii sio ya kuacha bila ya kusimulia yanayotokea mjini.
 
Nadhan mto hoja hajakosea kitu...mbona anasimangwa...kuuza followers ni jambo la kawaida sana...labda kama hujui idea behind
 
aisee! ww kama hutakuja kujiuza basi utauza hata nduguzo..
 
Back
Top Bottom