weka picha
I doubt kama utapata kwa budget hiyo. Starting would be min 350Habari, natafuta nyumba ya kupanga kigamboni..iwe maeneo ya kuanzia feri-mji mwema au hata kibada sio mbaya.
Iwe na vyumba 3 vya kulala, sitting room, kitchen, fence etc..budget yangu ni 250,000. Mwenye nayo aniPM.
Okay..ngoja niendelee kutafutaI doubt kama utapata kwa budget hiyo. Starting would be min 350