igwee frm anambra
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 955
- 1,492
Cancelled
Mkuu ungejaribu kuweka japo rafu tu ni camera ngapi na za eneo gani ni sh.ngapi ila ukasema kunauwezekano wa kupungua. Kupigiwa simu inapaswa kuwa kitu cha mwisho kabisa na sio kila swali mtu anapaswa apige.simuNipe namba yako ya simu (benbry) nitakupa maelezo yaliyonyoka.
Naunga mkono hoja. Na kwakuwa umeleta hoja hiyo humu basi tupe walau makadilio.Mkuu ungejaribu kuweka japo rafu tu ni camera ngapi na za eneo gani ni sh.ngapi ila ukasema kunauwezekano wa kupungua. Kupigiwa simu inapaswa kuwa kitu cha mwisho kabisa na sio kila swali mtu anapaswa apige.simu
Ingekuwa bora ukaweka vitu wazi hapa sote tukasoma na kuelemika. Mambo ya simu yatafuatwa kwa negotiations na installations. Lakini tupo wengi tunahitaji kufaidika kwa maelezo yako na bei.Structuralist. Upo sahihi lakini maelezo ni marefu kidogo ndio maana nimeomba uni-pm nikunyoshee maelezo km upo serious
Weka bei acha biashara za kisirisiri. Kamera zina standard specification, hivyo watajie watu bei hapa kulingana na specification. Kwa mfano, sema bei ya DVR ya njia 4 na camera zake (infra red or not, lens, brand n.k) zikiwa na installation cables, clips na monitor/screen.King makolokolo naomba unibeep saa hizi kwenye namba hii
0753 635 805.
Kuna aina nyingi sana za Utapeli.Weka bei acha biashara za kisirisiri. Kamera zina standard specification, hivyo watajie watu bei hapa kulingana na specification. Kwa mfano, sema bei ya DVR ya njia 4 na camera zake (infra red or not, lens, brand n.k) zikiwa na installation cables, clips na monitor/screen.
Sawa Paul tutakutafuta.Kampuni yaTrendTech SA int.
Tunawatangazia tunauza na kufunga camera original za ulinzi (CCTV) kwa bei nzuri na malipo ya awamu (instalment)
Simu za ndani za mahoteli au maofisi ( intercom s)
Pia tuna utaratibu wa kutoa 10% kwa yoyote atakayeweza kutafuta mteja au kufanikisha biashara
Product tulizonazo ni original zenye GUARANTEE ya mwaka mmoja
Kwa maelezo zaidi wasiliana nami moja kwa moja kwa namba hii
0753-635-805 Paul
Sasa tatizo lako ni nn kukwepa kutoa Muhtasari....Hahaha, life co tz. Utapeli ni style iliyopitwa na wakati huwezi ukawa tapeli then ukaacha namba za simu zilizosajiliwa kwa jina lako humu
Mimi umelata hapa kutujuza kuwa una biashara hiyo, maana ya tangazo la kibiashara, ni kuwajulisha watu kuwa unauza bidhaa fulani na kuwasawishi ambao walikua hawafikirii kununua bidhaa hiyo, wanunue kwa kuwajulisha namna bidhaa jinsi inavyopatikana mahali ilipo na bei zake. Sasa wewe unawapa masharti wateja.Wewe kama muhitaji kwanini uonetabu kipiga simu!
weka maelezo hapa namie nahitaji huduma ya camera 4 na dvr yake tupe mchanganuoa wake gharama ikoje.Nipe namba yako ya simu (benbry) nitakupa maelezo yaliyonyoka.