Habari wana Bodi
Mashamba yanauzwa Mikese Morogoro.
2 km kutoka barabara kuu
Bei: laki saba (700,000) kwa ekari 1.
Tuwasiliane kwenye PM na 0767 836 872
Tunahitaji kampuni yenye malori semi trailers, truck and trailers 32 tons to 36 tons @ kwa ajili ya kusafirisha cement kuanzia leo 18/02/2016 hadi mwisho wa mwezi huu
Dar es salaam to...
Hi everyone ,
Natafuta Suplier wa cookies zitakazotumika kwenye meetings /Vikao vya bodi n.k
Nchek inbox Kama unaweza hii kazi au una kampuni ya ku supply kila mwezi njoo inbox tuelewane
Kuwa na website yako kwa ajili ya biashara, taasisi au wasifu wako kwa sasa ni rahisi zaidi. Kwa 20k pesa ya Kitanzania unaweza kuhost website yako kwa mwezi mzima. Hakuna gharama za ziada wala...
Salaam ndugu zangu wana JF labda zaidi wa Mtwara!
Nahitaji nyumba ya kupanga(nzima/yote), Mtwara mjini haswa karibu na maeneo zilipo Lodges/Guest houses .
Mkataba wa miaka 3-5. Hata kama ilikuwa...
Lipo Mbeya jiji barabara ya inyala hospital kama unaelekea inyala secondary, linaukubwa wa hatua 30 kwa 18 bei ni 5M. Nicheck kwa namba 0714374155 au 0753199179.
Salama kabisa!
Nina surveyed plots in kigamboni mbele ya kimbiji kunaitwa PUNA na KWA CHALE.
Kwa chale ni karibu na JKT ya kimbiji.
Na pia ninavyo POTEA njia ya kwenda Tundwi.
Kutoka ferry
1...
Nataka landcruser v8 ya mwaka 2013 /14,diesel an auto budget dollar 85k,km unayo au unaconnection na mtu ambaye anayo nicheck hapa 0678224427,isiwe ya kusubiria
Nyumba (tafadhali tazama picha) iliyoanza kujengwa inauzwa. Iko Goba Tegeta A, au Kwa Bedui.
Kiwanja ukubwa wake ni 50 by 26. Inauzwa 37m.
Serious buyer contact 0755 092 734.. 0754 810853
Hii sim imetumika wiki tuu sasa tangu kununuliwa ni original, 32GB na ina 3GB ram camera 16Mpx na ina record video 4K ina heart beat rate monitor (built in) na specification zingine kibao
ppiga...
Viwanja viko mbezi mpiji magoe ukubwa kuanzia 22x20 bei 4.5milion.
Viko kandokando mwa barabara ya mbezi kwenda mpiji magoe. Huduma muhimu kama maji, umeme, hospital na shule zinapatikana.
Kwa...
Habari wanajamvi, nauza Kiwanja change chenye ukubwa wa 35x45 mita, kimepimwa na manispaa ya morogoro, kina ofa. Nauza kwa bei ya tsh 10M haipungui. Eneo lipo kihonda Kilimanjaro ( karibu na eneo...
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Nimepewa jukumu la kutafuta nyumba kadhaa Geita zenye sifa zifuatazo kwa ajili ya kupanga:
1. Yenye walau vyumba 2-3
2. Lazima kuwe na 2 bathrooms
3. Fence na...