Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari wana Jf Tunajishughulisha na masuala ya UCHIMBAJI WA VISIMA NA KUFANYA UNDERGROUND WATER SURVEY Tunatumia mashine za kisasa katika shughuli zetu Ukichimba nasi uhakika wa kupata maji ni...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
SPECIFICATION Model : Dell Latitude 5300 Processor: Core i5 Ram : 8 GB SSD : 500 GB Size : Inch 14 Generation : 8 Window : 11 Screen: Normal and Touch screen Bei : 500,000/= Computer ni used ila...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Tunapaua na kuezeka kwa kutumia nyasi chelewa na makuti kwa kazi nzuri na yenye ubora cheki nasi
9 Reactions
25 Replies
1K Views
Nanunua viwanja na nyumba arusha kwa mawasiliano piga simu number 0697614768 only seriously salers should call
1 Reactions
1 Replies
353 Views
Hello, my people, are you oke? Me greet you all after a long time. Have a woundful day. byby
4 Reactions
15 Replies
724 Views
Habari, Shamba linauzwa eneo la Ismani mkoa wa Iringa, ukanda huu sehemu nzuri sana kwa uwekezaji wa mifugo, maeneo haya mifugo inazaliana sana na kukua kwa haraka ukilinganisha na kanda zingine...
0 Reactions
1 Replies
381 Views
Habarini wote. Mimi ni muhanga wa macho nimeyavumilia kwa muda mrefu lakini naona ni too much. Siwezi focus vitu vya mbalii hata karibu hasa maandishi ziwezi somaa. Naitaji miwani ya bei nafuu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Mambo ya kuzingatia kabla ya kuanza ujenzi. Hakikisha unakiwanja ambacho kimepimwa na kinatambulika na manispaa ya mji...kuepuka migogoro. Katika kiwanja unachotaka kuanza ujenzi Hakikisha...
3 Reactions
0 Replies
441 Views
Wakuu, Nina Samsung Galaxy s24 Ultra, nimenunua jana baada ya kukosa Google pixel 9. Hili simu ni pana sana, nashindwa kuishika vizuri. Ili niitumie nashika kwa mikono miwili. Sipo comfortable...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari.Nauza mirunda, mbao, na marine boards zilizotumika. Marine boards ziko size 18mm, Mbao zipo size 2x2, 4x2, 1x9, na 1x 10. Bei maelewano. Vifaa vimetumika mara moja tu, nategemea kuezua...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
EMAUS LOGISTICS (T) LTD We do all Dar es salaam port and airport clearance of goods and vehicles on time, without additional costs. In need of our service please call us or whatsap on...
2 Reactions
2 Replies
522 Views
Habari wakuu. Microwave inauzwa. Bei 120,000/- Inapatikana Dar Es Salaam Karibuni
0 Reactions
6 Replies
546 Views
Kwa Wanachuo waliochaguliwa na wanaosoma TIA,Diplomasia,IFM na Mwalimu Nyerere vyumba vyakupangisha na hostels zinapatikana 📍 Kwa Aziz Alli -Single Rooms Kwanzia 50,000 - 80,000 -Master Room...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari Tunaandaa documents mbalimbali kwa ajili ya wajasiriamali. Wajasiriamali wengi nchini wamekuwa wakitafuta huduma hizi kwa gharama nafuu ila wamekuwa wakifanyiwa kwa bei kubwa kutoka kwa...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari viongozi naiman mpo poa nipo hapa kutangaza biashara yangu mimi noifundi bomba wa majumbani na building materials pia ambae nimebobea pia tuna duka la hardware lipo kariakoo kwa huduma...
1 Reactions
2 Replies
527 Views
Habari wakuu Kwa wanaopenda viti vizuri basi viti hivi vitakufaa Sana kwa ajili ya bustani yako au baraza yako. Bei ya kuuzia ni Shilingi 120,000/- Vipo Dar Es Salaam ila popote unaweza...
0 Reactions
5 Replies
534 Views
Technology imekuwa, watu wanaprint cake kwenye 3D printers, mi natafuta software ya kuprint pilau.., Mwenye nayo anijuze..
1 Reactions
12 Replies
3K Views
  • Closed
Hallow JF habari zenu Natumaini mko sawa Kama kichwa cha Uzi kinavyosema Viatu Vinauzwa, ni vizuri havina mushkeri yoyote bado ni vipya havijatumika sana, bei ni Tsh 15000 tu ila maelekezo ya...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wakuu. Kwa wale wahitaji WA mashine za kunolea na kukatia vyuma. Nauza benchi grinder hii kwa bei ya Shilingi 120,000/- Ipo Dar Es Salaam ila popote inaweza kukufikia. Karibuni
0 Reactions
1 Replies
425 Views
Back
Top Bottom