Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

  • Closed
Hallow JF habari zenu Natumaini mko sawa Kama kichwa cha Uzi kinavyosema Viatu Vinauzwa, ni vizuri havina mushkeri yoyote bado ni vipya havijatumika sana, bei ni Tsh 15000 tu ila maelekezo ya...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wakuu. Kwa wale wahitaji WA mashine za kunolea na kukatia vyuma. Nauza benchi grinder hii kwa bei ya Shilingi 120,000/- Ipo Dar Es Salaam ila popote inaweza kukufikia. Karibuni
0 Reactions
1 Replies
425 Views
Habari wakuu. Pasi ni nzuri Sana unaweza kutumia mvuke. kwa wale wanaopenda vitu vizuri vya nyumbani. Bei ni 150,000/- Zipo Dar Es Salaam ila popote unaweza kutumiwa zikakufikia. Karibuni
0 Reactions
3 Replies
518 Views
Niko hapa kukusaidia kutengeneza programu bora kwa matumizi yako binafsi au ya kibiashara. Ninabuni websites na applications za kisasa kwa gharama nafuu na bei maelewano. Muda ni ndani ya siku 2...
1 Reactions
1 Replies
452 Views
Mwenye hela ya chap njoo uwekeze Kinapitika barabara > kina hati halali hakuna mgogoro ni mali tu ya mtu hakuna udalali unanunua unapewa hiyo hati majina utabalisha ww kwa mamlaka husika...
1 Reactions
5 Replies
482 Views
Kiwanja kilichopimwa kinauzwa Mjini Nzega,bei 5m.Kipo Mita 150 toka Rami,Mita 600 toka Stand Kuu ya Mabasi,Ujazo SQM 876,kuna Maji na Umeme.Matumizi ni biashara hususani Lodge/Hotel,Godown...
0 Reactions
5 Replies
548 Views
Habarini wakuu, Naomba kujuzwa sehemu wanapouza vitambaa vya sofa kwa bei ya jumla,
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Salaam Wadau.Kama Una Mashine ya kusaga Karanga kuwa rojorojo upo Dar, njoo tuzungumze biashara. Tunaweza kukupa mzigo kisha tukapatana utupe finished product au kila kitu kwako Sisi tunachukua...
1 Reactions
1 Replies
317 Views
ISHAUZWA TAYARI!
0 Reactions
5 Replies
615 Views
Nyumba inauzwa eneo karibu na shule ya msingi mbezi luis Njia ya kwenda Goba Eneo lina SQM 400 (20×20) Nyumba ina umeme na maji Nyumba ina vyumba vinne. Finishing haijakamilika vizuri. Dakika 10...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Mwani(Seamoss) ni miongoni mwa mimea inayopatikana baharini, ikichukua sehemu ya ikolojia ya bahari kwa kulea na kulisha viumbe wengine baharini. Hivi karibuni kilimo cha mwani kimeongezeka sana...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari za mchana huu, napenda kuwatangazia kuwa Kwa yeyote anaye hitaji simu ya satellite anuchek ninayo
2 Reactions
9 Replies
604 Views
Je? Unamiliki biashara ya aina yoyote na ulikuwa unahitaji kufikia wateja wengi,kujitangaza pia kuuza bidhaa zako kupitia njia ya kidigitali. Wasiliana nasi Leo tutakutengenezea website kwa...
1 Reactions
1 Replies
797 Views
" Ni fursa adimu kuwa mmiliki wa kiwanja cha bei poa huko Mikocheni A. Kiwanja hiki kina ukubwa wa 1500sqm na kina hati miliki, kwa hiyo unaweza kuwa na uhakika wa umiliki wako. Kiwanja hiki ni...
0 Reactions
10 Replies
806 Views
Hii ni endelevu au mnawaonjesha wasukuma uhondo waliokuwa wameuzoea wakati wa fast jet?. ========= Kutoka kwa mdau humu jukwaani. Rodney01 "Kutoka kwa chanzo cha ndani..ni kwamba ilikuwa ni...
26 Reactions
219 Replies
21K Views
• Direction: Magomeni Makanya • Facilities: Old house and 6 frames • Plot Area: 350 sqm • Document: Title deed • Price: TZS 250 million • Site Visiting: TZS 30,000 . ✓ ni kiwanja cha kona ✓ kipo...
0 Reactions
1 Replies
427 Views
Wakuu kwema? Mzee wa machimbo leo chimbo mimi mwenyewe. Naweka mfululizo wa pochi kali ninazoleta kutoka china mimi mwenyewe Ofisi yangu iko kawe ukwamani. Frem mpya za Lugalo Mikoani utatumiwa...
11 Reactions
39 Replies
2K Views
Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Shamba linauzwa hakuna udalali lipo DODOMA kata ya chihanga Lina ukubwa wa heka 4 linafaa kwa kilimo cha umwagiliaji na ufugaji. Wasiliana nami 0658090695 bei kwa kila heka ni million 3
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Leo katika sikukuu hii ya wafanyakazi duniani, nimeona itakuwa ni vyema kujuzana juu ya wataalam muhimu katika katika tasnia ya ujenzi. Hapa nalenga zaidi ujenzji wa Majengo madogo,yaani Nyumba...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom