Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kipo Dar wilaya ya Ilala jimbo la ukonga kata ya Kipunguni, kina urefu wa futi 29 na upana wa futi 19 barabara ipo na umeme upo karibu utonunua mchanga wakati wa ujenzi wala maji mnunuzi serious...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana Bodi. Kuna Mashamba yanauzwa Mikese, Morogoro. Yapo 2km kutoka barabara kuu. Bei: Laki saba (700,000) kwa ekari 1. Tuwasiliane kwenye PM na 0767 836 872 Asante
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wewe ni oil skin? Unasumbuliwa na chunusi? Unasumbuliwa na mafuta usoni? Uko soft na unahitaji basic care? Je unahitaji kung'aa kialisia? Tunavyo vitu asilia kwaajili yako. Wasiliana nami kwa oda...
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Unataka kung'aa bila kutumia vitu vyenye chemical na kuharibu ngozi yako?tumia essential fairness na silk white glow. Kwa oda/ ushauri/ kuanza biashara......wasiliana nami 0717 343635
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kama Tangazo linavyosema nauza Simu Aina Ya Blu for 80,000 na maongezi yapo. Ina kila kitu including earphones na ni mzigo Mpya kutoka south africa. Kwa mawasiliano zaidi nicheki kwneye namba hii...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza pikipiki aina ya skymark, inatembea na ipo katika hali nzuri, tairi zake ni mpya kabisa, imesajiliwa kwa namba mpya na kwa jina langu mwenyewe Sababu ya kuiuza, nimechoka kutembelea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Pata Viwanja vilivyo pimwa na visivyo pimwa, kuanzia square meter 700 adi 5000. na wenye matumizi makubwa ya ardhi ikiwa ni makapuni na watu binafsi tuna Ekari 1 adi 10 sehemu moja. Viwanja viko...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanaJF! Nna bajeti ya mil5 - 7 natafuta kiwanja cha kujenga mkoa wa Kilimanjaro, Manispaa ya Moshi mjini, maeneo yafuatayo: - Rau (hata Uru ya mwanzo) - KCMC - Soweto - Shah Tours (hata...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kwa yeyote anayeweza kusuply kwangu ARTIFICIAL SAUSAGE CASING au UTUMBO ulioandaliwa tafadhali ni P.M. Nahitaji sana..nipo Dar.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hi ni kwa wanawake na wanaume wanaopenda ngozi zao, kama unataka kuwa na ngozi mcharo bhas chukua moja kati ya hizi na matokeo yake, utafurah.... Hazichubui kwahyo wanaotaka kuwa weupe...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu na wadau wa kilimo.. Ningependa kuelewa soko la VIAZI vitamu Dar es salaam likoje. Mara nyingi zao hili linalimwa na kuvunwa kwa msimu hasa miezi ya kiangazi, je soko lake nalo ni kwa msimu...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
Processor intel 1.60Ghz RAM 2.00 GB Hard disk 80GB Battery life 5 hours( Ina extended battery) Price:200,000 Haina tatizo lolote.. Phone no..+255654145154 tufanye biashara
0 Reactions
2 Replies
811 Views
Kipanda uso nimaradhi ya maumivu ya kichwa dalili Nikuumwa na kichwa upande mmoja kichwa kuuma mbele yaani usoni kuuma meno yote kusikia harufu mbaya puani Sababu zake nyama ya ng'ombe manukato...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Wandugu mwenye kuuza moja ya calculator hizo hapo juu tuwasiliane
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali wapendwa ni wapi ninawezakupata vitabu vya ACCA kwa hapa Arusha plse (current one)
0 Reactions
0 Replies
1K Views
In hati miliki. iko karibu sana Ununio Islamic High School mita kama 500 kutoka pwani na mita 500 kutoka barabara ya bagamoyo. Maji, umeme vipo karibu. Maeneo tulivu sana, yanafaa kwa familia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
utaniuzia lumia aina gani iwe katika hali nzur bei 200000
0 Reactions
0 Replies
576 Views
Selling a LIKE NEW Nikon Coolpix S6100 Touchscreen 16 Megapixel Digital Camera with a free extra High Capacity Battery and 8gb SD memory card This is an excellent camera that I've only had a...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
0 Reactions
4 Replies
765 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…