Nimepoteza pesa mingi sana kwa hizo bidhaa, products zenu ni nzur bt mnafanya kama wapiga ramli, hamjui product ipi ni kwa ngozi ipi, huwa nanunua full set yan kuanzia sijui face wash, scrub, day n nyt cream na bla bla, bt hadi unamaliza no changes, ukienda kuwaambia wanakwambia basi jaribu, ukirud wanakupa nyingine, fanyeni kaz kisomi mnatumalizia pesa coz bidhaa zenu ni expensive.
Halaf mnamtindo wa kusema; saiz hiyo product haitengenezwi wameleta mbadala wake mf. Pure nature mmeitoa mkaleta luv nature, what if hiyo ya kwanza kama kunawatu ilikua inawasaidia?
Badiliken, mtafanya sana biashara