Naitaji magogo ya mkurungu kwa wingi sana kwahyo naitaji suppler awe na uwezo wa kuzalisha zaidi ya container 15 kwa mwezi
specification
length 9 feet
width. 6 inch
thickness 6 inch
nipo dar ...
Habari wana JF!
Natafuta nyumba ya kupanga ya vyumba viwili kimoja master ijiegemee maji na umeme iwe na fance.maeneo ya sinza,kijitonyama,mwenge,makongo juu au changanyike. Bei kuanzia 200000...
Je unahitaji mtu wa kufanya nae biashara? Supplier au Agent? Kama we ni mfanyabiashara na unatoa bidhaa nje ya nchi nicheck kwa number 0718375766 kwa mazungumzo zaidi.
Mimi Mwidadi M. Msangi...nimechaguliwa mmojawapo wa washindi wa shindano la kusanifu nembo ya mahakama ya rufaa Tanzania.
Kupata logo(nembo) au ramani za nyumba tuwasiliane kupitia no 0752450273...
Brand new iRhoomba kifaa cha kufanya usafi ktk nyumba yako kama ilivyo vacuum cleaner isipokua yenyewe inasens uchafu ulipo, haianguki kwenye ngazi, unaiprogram ifanye usafi kwa siku, wiki, mwez...
Habari za leo wanabodi,
Kwa mtu binafsi au kampuni ambayo iko tayari kufanya bishara ya magogo au mbao na wachina kuna kampuni ya kichina inatafuta reliable supplier wa mbao au magogo.
Hasa...
6 acres land fore sale located at africana mbezi dar es salaam suitable for industry, hotel, schools etc Price Tshs. 900 mil , all necessary legal documents are available . contacts...
Kuna dogo yupo arusha anasoma chuo anahitaji.mishe yoyote au kazi ya kufanya weekend ili apate pesa maana anasoma na anahitaj kupata pesa
Huyu kaka anataka kazi hasaa wekeend kwa arusha jamani
Habari wanajamvi,nahitaji msaadawenu wa mawazo,kwa anaejua bei ya hizi toyo za miguu mi3 kwa ajiri ya kubebea mizigo zinauzwaje?na wazoefu wa biashara hii ukimkabidhi mtu anakupatia shimgap kwa siku?
Limited space available to the biggest real estate exhibition in Tanzania. Don't miss out call now and book your space among the greats in real estate.
Kama unahitaji vifaa hivi kwa ajili ya biashara tafadhali wasiliana na 0653579325.Anaviuza kwa bei nzuri naamini na ni vipya ,havijatumika.
Specification for Oven
The oven has one deck, two...
Salaam wadau..Anahitajika Secretary/office Manager.Ofisi ipo dar es salaam Upanga n inajihusisha na mambo ya sheria.Kazi kubwa ni
1.Kusafisha Ofisi
2.Kupokea wageni
3.Kuiangalia ofisi hasa...
Bei ni kuanzia 3.5 tunaelewana, used kwa miezi 4, haina tatizo lolote, unapewa na accesories zake. Kwa aliyeko dodoma namletea alipo check me 0712385672
Wajasiriamali habari. Nauza mashine mpya ya kukamulia juisi ya miwa. Mashine hii ni nzuri kwa maana ni ya mkono haitumii umeme hivyo kutokana na tatizo la umeme dar na tanzania kwa ujumla basi kwa...