Nyumba inauzwa na kuna uwanja mkubwa ambao unaweza kujenga nyumba nyingine utakayotaka wewe kwani iliyopo ni ya kiwango cha chini. Mahali ilipo ni Igoma jijini Mwanza (Nyuma ya St. Mary School)...
Hodi hodi ninabisha, jukwaani kuingia
Kwa simanzi kuwapasha,yale yalonitokea
Mtima una mashaka,jinsi ya kuelezea
Nimempoteza Kaka, Niliyempenda sana
Ilikuwa ni jioni, nikaipokea simu
Haraka...
Nyumba ya vyumba viwili(guests), master1, Seating room, choo public, jiko, baraza, mabanda 9 uwani, kisima cha maji, karibu kabisa na barabara ya ubungo maziwa to Mabibo...bei Mil 85.....
Ni PM...
Kiwanja kwa ajili ya makazi kipo maeneo ya Igoma (Nyuma ya shule ya St Mary) - barabara ya nyerere kinauzwa kwa bei nzuri. Tuwasiliane iwapo uko kwenye mipango ya kujikwamua kumiliki mjengo wako...
Kiwanja kinauzwa Mwanza, kipo eneo la Malimbe (Nyegezi) njia kuelekea Sweya. Eneneo ni zuri kwa ajili ya makazi. Kwa anaye hitaji nitafute kwa 0769015725/0689346264
Kipo mkolani kimepakana na barabara kuu ya Dar Mwanza kina ukubwa wa heka moja na robo , unaweza jenga Hotel,lodge na bei ni nafuu sana milioni mia na hamsini kama utahitaji tuwasiliane kwa...
Kiwanja kinauzwa eneo la Block 2, Buswelu, Mwanza. Ni kiwanja kikubwa Low Density, kimepimwa na kiko wazi. Pia kina hati tayari. Bei ni poa kabisa. Tuwasiliane kwa simu 0683 088859
Wadau poleni na majukumu naomba kuwapa taarifa kwa walioko naeneo ya Mwanza kuna eneo linauzwa ambalo lina viwanja 4 vyenye ukubwa wa 15x30 sq meters maeneo ya KISEKE B WILAYA YA ILEMELA. Gari...
Nyumba yenye fence na LUKU inauzwa;- NYAMANORO B:- BLOCK J. NO 73. INAPAKANA NA MLIMA WA KAWEKAMO/Masister RC. KAWEKAMO STREET. Ni Airport RD. Simu 0754 302006 or 0783 393921