Habari wadauu
Tafadhalini natafuta machine ya kufyatua tofali za kuchoma kwa yoyote anayefaham naweza kupata wapi ama shirika, ngo na kwa bei gani?
Tofali za kuchoma na sio Hydro foam...
Kwa yeyote ambae anauza vifaa vya saloon in generally ukijumuisha machine na vingnevyo uwe mwanza tuwasiliane directly 0758323543, 0674743890 fall me in box ili turahisishe zoez.
Nimefunga duka la vifaa vya umeme na ujenzi. Nauza vitu vilivyokuwepo kwa bei ya chini Zaidi ya wholesale kariakoo. Vitu kama switchs, bulbs, tube n fittings, vitasa, main switch,sink za Choo...
watu wangu wa nguvu natumaini mambo yenu salama
wadau team tecno natumiani wazima nyie, sisi tunaenjoy mambo ya kwenye simu za milioni kwa kulipia laki zetu kadhaa, tecno inavyonipa raha...
Hi cobbers,
bought brand new iMac and now I guess its time to sell
27" (really big screen),
iCore 7,
Ram 16Gb (2 slots to add more)1333MHz DDR3,
software OS X 10.9.5,
Graphics ATI Radeon HD...
Ni saa ya alarm ambayo imefungiwa camera iliyofichwa kwa ajili ya kupeleleza au 'Spying'.Inauwezo wa kurecord na kutunza Video,pia unaweza kuconnect na simu yako ukaona kinachoendelea kupitia simu...
Salaam wadau...tunauza kiwanja kipo bahari beach...opposite na Bahari beach hotel.
Ukubwa ni square meters 8000.Kina hati na hakina tatizo lolote.Bei Mil 650.
Mawasiliano 0689900000 na
email ni...
Iwe Dae es Salaam maeneo yoyote yale, iwe Mbagala, Chamazi Mbade Boko salasala Chanika Kimara, Mapinga kerege n.k iwe na vyumba vya kulala visivyopungua vitatu.. bajeti 50mi 60mil au 70mil...kama...