Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Rejea kichwa cha habari
0 Reactions
3 Replies
723 Views
Wakuu habari nauza mashine ya paspot size ya dk 3 na kamera digita ndogo Kwa shilingi laki tatu tu. kama Upo tayari tuonane. Mimi naishi kawe wilaya ya kinondoni, ngoja nifanye mpango wa kuweka...
1 Reactions
2 Replies
940 Views
About Big One Enterprises Big One enterprises(logistics ) Tupo kwa ajili ya kukupunguzia gharama,mda,usumbufu katika sekta ya upauaji,tumejikita katika kuokoa gharama na kumpunguzia mteja gharama...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
EWE! MZEE wangu unae karbia kustafu utumishi waumma, nunua na wekeza kwenye nyumba uwe tajiri daima, sifileo, anakuletea habar njema, nyumba tatu zote zipo sabasaba, zina title kbsa, na tayari...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
[emoji41][emoji41][emoji41]
0 Reactions
0 Replies
702 Views
Nauza ups,bei makubaliano
0 Reactions
4 Replies
665 Views
Habari za majukumu ya kila siku, Natafuta line za mitandao tajwa, za bei nafuu.Ikiwa na vitabu vyake itakuwa vyema zaidi Nawasilisha
0 Reactions
5 Replies
892 Views
Viwanja Kwa ajil ya ujenz wa makaz na shughul nyngne za kimaendeleo vinapatkana Kwa ukubwa wa 20/20 huduma muhim zinapatkana kwa ukaribu
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Gari aina ya rav 4 naiuza,million 25
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Nauza simu samsung galaxy j7 model sm-j700H, nimeitumia mwezi mmoja na nusu kila kitu chake kipo na nina uza shillingi lak4 na nusu kwa srious buyer ni Pm ni nzima haina shda yoyote android...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala (1master&2single), sitting room, public toilet, ina frem mbili eneo la kiwanja ni mita 14/16 ipo mtaan kuna nafasi ya mazungumzo Piga 0656 698232
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wapendwa JF, Mimi mwanaume, sina familia. Natafuta chumba na sebule maeneo ya Morocco mpaka Mkwajuni Kinondoni, isiwe mbali sana na barabara kuu na isiwe karibu na Bar au club. Au Kimara kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
902 Views
Ubalozi wa Marekani unapenda kukujulisha mnada mwingine mkubwa wa Magari, Mafridge pamoja na Furniture mbalimbali za nyumbani. Universal Auction Centre kwa idhini tuliyopewa tutauza kwa mnada...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina 250,000/= nahitaji kununua smartphone yenye 4g.Je ni smart ipi nzuri.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
nauza maahine za kutotoleshea kwa bei nafuu
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello wanajamvi, jaman habar njema Nyumba tatu za hostel zipo SABASABA, zinauzwa bei ni maelewano, zote zina hati, kamili ya kumiliki ardhi, zina uwezo wakubeba wanafunzi 60 kwa muhula. zipo...
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Ndugu mteja, Nyumba hii ina jumla ya vyumba vinne (4), jiko1, choo cha public 1 pamoja na frems mbili 2 za maduka kwa upande wake wa mbele. Nyumba hii ipo Chamazi Saku Iruru, inauzwa kwa Tsh 60...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tsh 22m 0674338225
0 Reactions
1 Replies
1K Views
pata vifaranga wa chotara kwa bei poa. piga no 0658100001
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…