dany gamase
Member
- Jul 25, 2014
- 46
- 4
pata vifaranga wa chotara kwa bei poa. piga no 0658100001
Hata mimi hiyo chotara cjaielewa inamaanisha vifaranga wa aina ganiVifaranga chitara ndo nini? Wajasiriamali wenzangu,biashara ni matangazo na tangazo linatakiwa litumie lugha rahisi,yenye mvuto na ya kueleweka! Epuka makosa ya kiuandishi kwenye tangazo.