Masikini_Jeuri JF-Expert Member Jan 19, 2010 6,829 1,300 Jun 1, 2016 #4 vimefanyaje ? kama ni biashara ongea ueleweke
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Jan 19, 2010 6,829 1,300 Jun 2, 2016 #6 umeanza jana hii biashara? halafu mbona kama unajilazimisha ni yako au umeagizwa tu upige debe? nadiriki kusema hivyo kutokana na taarifa nusus unazotupia hapa, yaani unataka watu waanze kukuhoji
umeanza jana hii biashara? halafu mbona kama unajilazimisha ni yako au umeagizwa tu upige debe? nadiriki kusema hivyo kutokana na taarifa nusus unazotupia hapa, yaani unataka watu waanze kukuhoji