Naomba Ushauri : Nina 250,000/= nahitaji kununua smartphone yenye 4G

Nakushauri nunua tecno c5 ni nzuri kuliko c8. C8 haina 4G. Kama vp ni pm.
 
Huko jumia mnapigwa saana bei....anichek tu mie apate mali mpyaaa ya ukweli..0654776976
jumia ni official makampuni yanauza wenyewe, simu za uhakika na zina warranty hadi miaka 2. japo zipo stock za zamani zinazouzwa bei ghali lakini pia zipo deals nzuri tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom