Natafuta chumba na sebule maeneo haya

ishiveti

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
1,019
518
Wapendwa JF,

Mimi mwanaume, sina familia. Natafuta chumba na sebule maeneo ya Morocco mpaka Mkwajuni Kinondoni, isiwe mbali sana na barabara kuu na isiwe karibu na Bar au club.

Au Kimara kuanzia Rombo mpaka Kimara Mwisho...

Naomba mwenye leads anipe tafadhali: 0713 291 947
 
Back
Top Bottom