Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau nahitaji sport bike kutoka India Manufacturer- Bajaj Model-Pulser 200 NS Nahitaji kujua kama pale india inauzwa rupee 95000; pamoja na kufanya shipping services mpaka ifike bongo niikamate...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
About Big one enterprises Bigone logistic inakupa suluhisho la kupaua kuanzia ushauri wa kukupigia hesabu mabati mangapi yanahitajika katika nyumba yako kwa njia ya ramani au kufika site kwako...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nyumba/kiwanja ukubwa ni sqm 980, eneo ni tanki bovu mita mia mbili kutoka barabara ya bagamoyo ilipo benki ya NBC au kanisa la kilutheri mbezi, ina tittle deed (hati ya umiliki) na eneo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Natafuta simu ya samsung isizidi 70k
0 Reactions
0 Replies
546 Views
Zipo za kutosha hasa kwa wale wanaotaka kwa bei ya jumla kuanzia kg 100 na kuendelea sihitaji madalali kwani wengi wao ni matapeli whsp no 0714515175
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Hope mko poa members....kwa bajet tajwa hapo juu naweza kupata ipad? Ukinitajia aina na specifications zake itakuwa poa zaid..
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Pata simu kwa bei poa kabisa Samsung Galaxy S3-350k S4-395k S5-496k S6-1.24m S6 edge - 1.55m S6 edge plus - 1.78m Samsung Galaxy Note 1-292k Note 2-393k Note 3-532k Note 4-750k Note...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu waungwana,mie ni kijana mwenye utaalamu wa kufanya wiring ya umeme katika nyumba na ghorofa. Bei zangu ni nafuu na pindi nitakapokufanyia utafurahia mwenyewe,na pia kama nyumba ina...
0 Reactions
0 Replies
909 Views
Wadau, Nahitaji fundi mzuri wa kupanga paving blocks. Mafundi nawaona wengi mtaani, ila ntashukuru nikipata reference toka kwa mtu ambae amefanyiwa kazi nzuri. Nyumba ipo Tangi Bovu, Mbez Beach...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kimfaacho MTU chake Leo mwny hii nymba kanifuata kashuka tena mwny hela anaokota hii nyumba ukilingansha na gharama halisi
1 Reactions
64 Replies
8K Views
Wahi ofa hiyo kwa kupiga 0689755234 .Napatikana Dar es salaam.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nauza asali mbichi ya nyuki wa kubwa kwa tsh 15000 tu kwa Lita Nakuletea popote ulipo ndani ya Dar es salama Nichek hapa kwa oda 0714547830
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu iko katika hali nzuri.Ila ina crack ndogo sanaa amabayo haionekani mpaka u itizame kwa umakini na cover lina michubuko kiasi.Bei ni 330.k
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa: PROJECTS ZA KIGAMBONI HAYAT RESIDENCE: *Umbali km 23 kutoka Ferry *Umbali km 10 km kutoka New Kigamboni bridge(daraja jipya la kigamboni) *Ipo ndani ya Proposed...
3 Reactions
61 Replies
11K Views
Banda lina vyumba viwl tu lipo mtaan umeme, maj vipo karbu 0656 698232
0 Reactions
5 Replies
2K Views
House and plot for sale dar es salaam 0712656606 Eneo: kigamboni kibada block 15 Bei: millioni 150 ikikamilika Millioni 120 kama ilivyo. Ina hatimiliki na kiwanja kimepimwa Size : Square...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la ndege la Etihad nchini Nigeria Bw. George Mawadri Shirika la Ndege la Etihad ambalo ni shirika la ndege la taifa katika falme za kiarabu limemteua George Mawadri...
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Nyumba inauzwa ipo maeneo ya kurasini karibu na baraza la maaskofu. ukubwa ni square meter 3320, ipo almost mita 150 kutoka baharini..... All relevants documents ziko available (sio ya urithi ni...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwenye kujua zinapopatikana hapa Dar aniambie ,, nipe PM
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Habari za mchana wana JF natafuta mteja wa kununua ufuta, nina ufuta zaidi ya kilo 2,000 Ufuta unapatikana shambani kwangu nje kidogo ya Mkuranga, Serious Buyer naomba anicheki private kwa...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…