lifeofmshaba
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 867
- 219
Salamu wakuu
Kama kichwa cha habari hapo, natafuta soko la maziwa ya ng'ombe kuna lita 90 za maziwa kila Siku yanaweza patikana.
Kwa mwenye mahitaji au anayejua soko nitashukuru sana
Tuwasiliane email bunyinyiga2014@gmail.com
Asante sana