Kazi ya kuproof read

Mkuu tangazo lako kuna vitu vingi vinamiss. Nadhani tupo wengi tunahitaji huduma hii. Ungeweka qualifications zako ili tuwe sure na quality ya kazi. Pia ungesema na bei kama ni kwa page au kwa word. Asante sana kama utafanyia marekebisho tangazo lako
 
Back
Top Bottom