Mafunzo ya Hairdressing and beauty

Farudume12

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
621
348
Habari zenu wapendwa, Nbeauty saloon ingependa kuwajulisha kwa wale woote wapenda urembo, yakwamba, tunatoa mafunzo ya Saloon, kwa wanawake na wanaume. mafunzo yanayo tolewa ni urembo wote kwaujumla... tukianzia nywele, ngozi, kucha, na mengine meeengi. tuna patikana kimara mwisho karibuni sana. kwa maone ao swali lolote wasiliana nasi kupitia namba 0657469664 Asante.
 
Back
Top Bottom