Island umeshapata hiyo sukari ? Kuna jamaa anayo
Kama unauza nipe bei , me siuzi nanunuaunachukua kilo kwa shilingi ngapi
2500 kwa kiloKama unauza nipe bei , me siuzi nanunua
No mkuu ! Naipata kwa 1800 +vat per kg2500 kwa kilo
Tshs 1,800 + VAT = Tshs 2,124.No mkuu ! Naipata kwa 1800 +vat per kg
Hiyo bei elekezi ya 2200 ni kwa ngazi ipi ,,? Manufacturer, whole sale , retail etcTshs 1,800 + VAT = Tshs 2,124.
Mkuu uko chini sana. Hii ni below hata ile "Bei Elekezi" ya serikali ya Tshs 2,200
OK mkuu ! Ikihitajika ntakuchek , kwa sasa ishanunuliwa .Kama uko serious Na uko kwenye hii mikoa ya ukanda wa Pwani ninao uwezo wa ku- supply kwa gharama ya mil 2.2 kwa tani moja!