Habari wanajamvi
Nilikuwa nahitaji msaada wa kufahamu wapi naweza kupata rennet kwaajili ya matumizi ya kutengenezea cheese (specifically aina ya mozzarella)..
Katika pita pita zangu naona nyingi...
Leo nitawaelekeza lugha zinazotumika ili kulangua bidhaa hizi kama simu na accssessories zake yaani cover's,earphone nk.
Wenye kuhitaji simu na makava ya simu protector yaani kiufupi accsessories...
Wakuu, kimfaacho mtu chake. Nina hali mbaya kiuchumi aisee, nimeamua kuuza laptop yangu aina ya lenovo
RAM 8 GB
Storage 256 GB
Bei ni 550,000/=maongezi kidogo yapo.
Kwa mwenye kuihitaji anicheck...
Bei ni 230k nipo dar
Problem ni hii nilinunua mwezi wa kwanza mwaka huu refub, ishu ni inapassword kwenye eufi sijui ni bios (ambayo siijui na niliponunulia warranty ni miez sita)
Ram 8GB,
Ssd...
WAJASIRIAMALI hongereni kwa kuufikia mwaka 2021 mkiendelea na mapambano
kama ni miongoni unatafuta mashine au taarifa zake karibu tupo tutakusaidia Jorina store lolote zaidi call/sms/whatsapp...
Nauza drill full box mpya(Ina bit tano na vichwa viwili)
Inatoboa zege,chuma na mbao
Ina sehemu ya nyundo,inazunguruka pia na sehemu zilizoungana zoye hizo
Zipo pcs 8
Bei 180,000
Nipo temeke Dar...
Salaam wadau....Natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini. Kiwe self, itapendeza nikipata maeneo ya karibu na hospital ya mkoa. Mwenye connection tuwasiliane tafadhali.
Habari ya mchana kama Kuna yoyote Humu anauza laptop ikiwa clean. Condition itakuwa vyema
Brand iwe kati ya hizi HP, dell, Asus iwe card ya Nvdia Mx ndani
Napatikana Ukonga karibuni Dm
Utangulizi
Land banking ni mbinu ya uwekezaji ambapo mtu au taasisi hununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukishikilia kwa muda mrefu, akitarajia kuwa thamani ya ardhi hiyo itaongezeka...
habari zenu. Mwenzenu nimeamua kujiajiri kwa kufungua saluni ya kike. Nasuka na kushonea weaving mitindo yote. Pliz wadau wa arusha karibuni sana jamani mniunge mkono mwenzenu. Kwa mawasiliano...
Jifunze computer programming,web development skills kwa bei nafuu,pia page development tutorial,na pia kupata vifurushi vizuri vya internet.Piga 0759124378
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.