Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Je, unahitaji kuwekeza kwenye ufugaji wa nyuki na hujui pa kuanzia? Karibu upate mafunzo ya ufugaji nyuki kibiashara.
1 Reactions
0 Replies
307 Views
Eneo linafaa kwa Ufugaji,mto unapita jirani,kilimo cha kumwagilia. Lakini pia kilimo cha mihogo,machungwa na Maembe. Nicheki 0782971984
0 Reactions
0 Replies
280 Views
Wakuu naamini mpo salama, Kwa anayehitaji kununua usafiri wake, nipo na Nissan Teana nzuri na nzima, nauza. Gari limesajiliwa Tanzania kwa usajili wa DMK DETAILS Make Nissan Model Teana...
3 Reactions
24 Replies
4K Views
Mazungumzo yapo changamoto ni umeme tu, mwenye uhitaki karibu inbox
0 Reactions
0 Replies
205 Views
* TRJ 150. Brown color. 2690cc.Petrol. Automatic. Number T...DDE. In good condition. Price 90mil Mawasiliano 0784225000
1 Reactions
1 Replies
469 Views
habari zenu wakuu nina shida ya chumba cha 25,000 dar es salaam,nipo kwenye changamoto kidogo hivyo siwez kupitia kwa madalali maana gharama zitaongezeka hivyo kwa mwenye kuweza kuniunganisha na...
2 Reactions
5 Replies
404 Views
Taa hii inatumika nje Yani ndani ya fensi ya Nyumba,nje ya Nyumba au barabarani. Taa hii inatumia mionzi ya jua ili kujipatia chaji na pia kuchani battery za CCTV camera. Taa hii inafanya KAZI...
2 Reactions
41 Replies
2K Views
Wadau, naombeni ushauri hukusu ubora wa mbao za huu mti uitwao Mtiki katika kitengeneza milango ikilinganishwa na mninga au mkongo. Kuna mdau ananishawishi kwamba wenyewe ndio the best, ingawa...
0 Reactions
28 Replies
16K Views
.. habari za majukumu wakuu,nahitaji hizi plastic mold kwaajili ya kufyatulia paving,msaada wa mwenye kufahamu zinapopatikana kwa hapa dar na bei zake wakuu,nahitaji sana
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, ninaomba msahada wa mawasiliano ya usafiri wa magari yanayosafirisha ndizi kutoka rombo to DSM. Mawasiliano yangu 0743468716
1 Reactions
2 Replies
268 Views
Kwa waliopo Dodoma, Dar na maeneo mengine ya Tanzania na toa OFA ya mwenzi mmoja ya kuwaunganisha na Wachina wanaoshusha na kuuza mzigo wa bei ya jumla kariakoo kwenye bidhaa zifwatazo. Kampuni...
29 Reactions
263 Replies
32K Views
Bei 1,180,000/= mashine ni mpya Mashine ya kukamua juisi ya miwa (Ya umeme) 🔴Ina uzito 65kg 🔴Inatumia umeme wa kawaida wa majumbani 220V, motor 0.75KW 🔴ukubwa wake 430*350*920mm 🔴material yake ni...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
*Natengeneza na Ku-repare mashine au mitambo mbalimbali iliyokufa saketi zake za kielectronics na hivyo kushindwa kufanya kazi. *Nahusika na mifumo ya kielectrical na Electronics tu,sihusiki na...
3 Reactions
4 Replies
377 Views
Inakuwaje kijana unapambana Kwa Hali na Mali kiakili na kimwili Ila mafanikio yanakuwa bado shida? MTU huywi pombe na wala hutumii kilevi chochote Sio MTU wa wanawake uko na mahusiano yako...
13 Reactions
43 Replies
2K Views
Karibuni mashamba bei sawa na bure. Mashamba yapo dakk 30 kutoka kisarawe mjini. Maongezi yapo kdogo. Namba 0627757086
6 Reactions
28 Replies
4K Views
Salamu.Nimezipenda hizi Tv za mimi kipato Cha kati,Remote za Tv ya Hisence zipo makini sana. Sauti ya Tv zao ni kubwa na audio jack nzuri sana.
7 Reactions
77 Replies
6K Views
Kutokana na kuongezeka kwa makazi ya watu huku ukubwa wa transformer za Tanesco zikibaki zilezile,kumepelekea maeneo mengi ambayo miji yake inakuwa kukabiliwa na tatizo la umeme mdogo hasa...
1 Reactions
28 Replies
9K Views
NIC Life House, 2nd Floor, Wing C, Website:www.archco.co.tz P.O. Box 38694, Dar es Salaam, Tanzania Email.info@archo.co.tz Tel:+255 22 211 844 Date: 27th February,2024 YAH: MASHAMBA YA KILIMO...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari, Kwa niaba ya ndugu yangu, wanauza eneo la shamba kubwa kwa uwekezaji wa kilimo. 1) Wapi? Ngalanga, njombe vijijini 2) Ukubwa? Ekari 100+ 3) Umbali toka barabara kuu: 5km 4) Hali yake...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom