Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wataalamu wa biashara ya vipodozi, ninaomba kusaidiwa mbinu mbalimbali za kupata maduka ya vipodozi vya aina zote yanayo-uza rejareja na mbinu za kuwafanya wawe wateja wangu kwa ajili ya...
6 Reactions
29 Replies
4K Views
Raha ya kusoma vitabu vya softcopy kwa Kiswahili ni kwamba vinakupa fursa ya kufikia yaliyomo kwa urahisi na haraka. Kitabu kikishatafsiriwa, huwa kinakupa mwanga wa kina wa yaliyomo ndani, na...
1 Reactions
14 Replies
929 Views
Habari! Karibu kwenye jukwaa la jamii yetu! Leo tungependa kujadili safari ya kutembelea Chemka Hot Springs. Kwa kufanya hivyo, wageni watajipatia fursa nyingi muhimu. Kwanza kabisa, kutembelea...
0 Reactions
0 Replies
327 Views
Bila Shaka Haujambo Na Unaendelea Vizuri! Kwa Majina Mi Ni Max Ernest Ni Mtaalamu Wa Graphics, Branding & Social Media Management. Nimebarikiwa Zaidi Katika Uandaaji Wa Matangazo! Hapa Namaanisha...
2 Reactions
2 Replies
429 Views
Wadau Habari?? Nna youtube account yangu taarifa zake ni hivi ... -It has 13usd, now it only needs identity verification. -Has 4k+ subs - per average it has 900 view Hours per every month since...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
kama una mashine ya chainsaw kutoka Brazil Husqvarna 272Xp, contact 0764125128
0 Reactions
0 Replies
328 Views
Karibu jipatie mafuta ya nazi yasiyochemshwa (cold pressed). Mafuta yanakamuliwa kwa hali ya usafi na nazi safi ambazo hazijaharibika. Unaweza kupikia au kutumia kutuamia yakiwa mabichi kama dawa...
3 Reactions
13 Replies
683 Views
QR Code inaweza kumrahisishia mteja wako kupata taarifa za biashara yako kwa haraka zaidi ukilinganisha na kutafuta kawaida. Mfano; Unaduka lako, na umechapisha karatasi yenye jina lako la...
0 Reactions
0 Replies
276 Views
Ilidondoka chini mishale inachomoka sehemu zake,kama kuna fundi anaihitaji kwa ajili ya kuirekebisha au kuitumia kama spare anitafute,aniandalie kitu kidogo sent from kanyau
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari zenu waheshimiwa! Tunatoa huduma mbali mbali za kidigitali ikiwemo kadi za mialiko kama vile za harusi, send off, michango, graduation, business cards, nk. Achana na yale mambo ya kupanda...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba mods msifute hii thread yangu Wana jukwaa kila siku nitakuwa na post simu hapa na vifaa vyake pia laptop flat TV na majiko ya gesi ukiitaji chochote nitakuletea .bei ni za jumla na bidhaa...
10 Reactions
22 Replies
2K Views
Gari ipo kwala Bei M 13 For more details Contact 0578804442
0 Reactions
0 Replies
409 Views
Habari wanabodi. Kama kuna mtu anauza nyumba au kiwanja Dodoma Area D aweke hapa. Tafadhali useme ukubwa wa kiwanja na bei yake (useme kama ni nyumba au kiwanja tupu) Shukrani.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Karibuni kisiwa cha mafia, kuwekeza kwenye utalii na uchumi wa buluu. Mafia inakua sana, kuwa sehemu ya ukuaji wake
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Router inatumia sim card zote Ipo Kiseke B Mwanza Bei: 70,000 0778002502
0 Reactions
2 Replies
371 Views
Habari za wakati huu wana JF, Nimekuwa kwenye biashara ya simu kwa muda mrefu, kuna simu nyingi sokoni zingine zikiwa used, refurb na mpya. Kwa simu za Iphone simu mpya huwa ni ile ya mwaka...
2 Reactions
7 Replies
907 Views
Habari wanajamvi Nilikuwa nahitaji msaada wa kufahamu wapi naweza kupata rennet kwaajili ya matumizi ya kutengenezea cheese (specifically aina ya mozzarella).. Katika pita pita zangu naona nyingi...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ukubwa ni 4×6 Bei 65,000 Kipo Mbezibeach Tangibovu 0687614981
0 Reactions
1 Replies
423 Views
From Japan YOM 2007 1790cc Automatic Petrol 105,000 Kms Dar Es Salaam . 0717 650800
4 Reactions
76 Replies
30K Views
Leo nitawaelekeza lugha zinazotumika ili kulangua bidhaa hizi kama simu na accssessories zake yaani cover's,earphone nk. Wenye kuhitaji simu na makava ya simu protector yaani kiufupi accsessories...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom