Kiwanja kipo Umbali wa Mita 300 kutoka Barabara Kuu( Bagamoyo Road)
Kiwanja Kimepimwa na kina hati.
Ukubwa wa kiwanja ni Mita za Mraba 1200
Bei ni Tshs Milioni 250
Tuwasiliane: 0713226191 au...
Double storey house for sale at mikocheni milion 450, 3 house for sale at Mbezi near white sands hotel $400000, plot for sale at kaunda with4000 sqmter near kenya embassy $4.5 milion. Call 0656015564
Habari wadau, nafanya kazi ya kutoa magari bandarini na mizigo ya airport kwa Gharama nafuu kabisa
Pia natoa ushauri kwa wanaotaka kuagiza au jambo lolote kuhusu Export au Import,
kwa maeleza...
Kiwanja kipo Goba mjini mita 300 kutoka stand njia ni nzri ya kufika hadi kwenye kiwanja, ukubwa 40 kwa 50 bei yake 35ml.maongezi kidogo yapo ukihitaji Maelezo zaid au kuja kukiona wasiliana nami...
DALALI MWANZA
kwa mahitaji yako ya nyumba za kupanga.viwanja.magari.nyumba za kununua.mafundi wazuri na wachoraji wa ramani wazuri
usiache kunifollow instagram na facebook dalalimwanza...
Kwa wakazi wa Dodoma mjini karibuni KAIZER FASHION barabara ya 10 mjipatie pamba kali kwa bei poa jumla na rejareja Nguo za watu wa jinsia na wa umri wote zinapatika. Kwa mawasiliao zaidi contact...
Habari za mchana wadau natumaini mpo poa... jaman naitaji king'amuzi cha azam TV kilichotumika wadau mwenye nacho naomba tuwasiliane kwa namba 0658038038... niko Dar
Ninahitaji msaada kwa anayefanya biashara ya Used computers naomba uniambie kama unahusika nazo Jumla au rejareja. nitakucheki inbox. au kwa email: ymollel@gmail.com
Salaam
Nakusudia kuanzisha kiwanda kidogo cha usindikaji nafaka. Ila sifahamu sana kuhusu ubora wa electric motors
Yaani sijui brand ipi ni durable, affordable and perfect for the project...
Nauza shamba lipo Morogoro, Maeneo ya Kiegea, Bwawa la kihonda kwa bei rahisi..kutoka Msamvu dk 40 kwa pikipiki unaweza kuchimba kisima Tuwasiliana kwa namba hii 0716792692 Asanteni
[emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245] [emoji245]
Habari ya Muda huu mpendwa.
Niko nauza dagaa wa mwanza kwa bei...
Shamba la heka 4 linauzwa kwa mil 5, lipo mlandizi mwisho kisha unaingia km 1 kwenda kwenye kijiji cha ngeta. Mawasiliano 0713626494 & 0767626494 karibuni sana.