Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,039
Naombeni kujua kwa wale waliobahatika kutumia hiki kinywaji kinafanya kazi vyema?
Kemikali kivipiAchana na kemikali zitakuua mkuu..tumia tiba asili baba
Ina nini hii kitu?Acha hata wale
forever nao sio
Duh, tenaaaa !!!Majini hayo
Inatengenezwa wapi hii kitu hapa nchini au?kunajiran yangu katumia ila kisukar na high B/P bado vinamsumbua
Waoi huko nijeNjoo Tukimbie Mchakamchaka Maisha Yasonge
Usilee Mwili Ukawa Na Kitambi Kama Mamelod Yule Wa Fifa
USA mkuuInatengenezwa wapi hii kitu hapa nchini au?