Habarini ndugu zangu namtafuta bwana shamba il akanichekie eneo chalinze km panafaa kwa kilimo cha tikit eneo langu lipo chalinze panaitwa mboga karibia na msoga my no 0653716282
Ni moja kati ya sehemu nzuri kweli kweli kwa wapenzi ambao wana mpango wa kutembea au kwenda fungate. Ngorongoro crater lodge ni miongoni mwa sehemu nzuri ambazo unaweza kwenda na mpenzi wako kwa...
Hellows wana jf
Ninauza seti za perfume kwa bei ya jumla na rejareja....
Seti moja ya kike inakua na perfume, spray, lotion na poda.. Seti moja ya kiume inakua na perfume, spray, sabuni na...
samahani was JF natafuta mahali pa kufanya kazi ya kujitolea iwe ni bank au taasisi yoyote lengo ni kupata uzoefu .Elimu ya yangu in Diploma in business administration specialized in marketing...
habari zenu wadau.
nauza laptop yangu nzuri na kwa bei nafuu.
ni hp, corei5, 4GB RAM, na HDD 320.
Bei yake ni nyepesi tuu 550,000/=
kama unahitaji tafadhali ni pm
Wandugu,
Natafuta mashine kubwa ya kuranda na kukata mbao, nahitaji kuitumia katika workshop yangu. kwa mtu ambaye anayo, tafadhali tuwasiliane kwa kunipm, isiwe ya Kichina wala ya Kibongo, iwe...
Natafuta fundi wa ujenzi mwenye uwezo wa kusoma ramani na kujenga. Ikiwezekana awe amesomea civil hata level ya veta grade one. Mawasiliano 0714374155 au 0753199179. Site ipo Dar viwege majohe.
Sasa muone kwa matatizo mbalimbali sasa yuko nchini TANZANIA baada ya kutoka nchini NIGERIA,Tunatibu yafuatayo:-KISUKARI,KANSA,WANAUME KUWAHI KUFIKA ,WANAWAKE KUTOKWA NA UCHAFU SEHEMU ZA...
nimeshafika tayari hapa furahisha na watu ni wengi
Toka juzi nilirudi home mwanza kutokea mkoani jirani.sasa leo nimeenda kwenye mkutano wa frank (SHILO) kwa ajiri ya kumsikiliza, ila kuna kitu...
Anayejua maduka ya vifaa vya mazoezi vya bei poa haswa benchi na vyuma vya mazoezi vya kisasa Dar es Salaam tafadhali nifahamishe.
Natanguliza shukrani.