laurent katema
Member
- Dec 22, 2015
- 32
- 9
Natafuta fundi wa ujenzi mwenye uwezo wa kusoma ramani na kujenga. Ikiwezekana awe amesomea civil hata level ya veta grade one. Mawasiliano 0714374155 au 0753199179. Site ipo Dar viwege majohe.
mkuu nitakutafuta leo leo usiku, niko tight kidogo hiyo deal naichukua nimekidhi vigezoNatafuta fundi wa ujenzi mwenye uwezo wa kusoma ramani na kujenga. Ikiwezekana awe amesomea civil hata level ya veta grade one. Mawasiliano 0714374155 au 0753199179. Site ipo Dar viwege majohe.