lup
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 2,514
- 2,732
nimeshafika tayari hapa furahisha na watu ni wengi
Toka juzi nilirudi home mwanza kutokea mkoani jirani.sasa leo nimeenda kwenye mkutano wa frank (SHILO) kwa ajiri ya kumsikiliza, ila kuna kitu niligunduwa pale hasa point ya wanaotaka kuolewa...kwani wadada wengi walijitokeza kupeleka sadaka..