The CISA designation is awarded to individuals with an interest in Information Systems auditing, control and security who meet the following requirements:
1. Successful completion of the CISA...
Habari wadau.
Natafuta kununua pumba za mahindi kama magunia 50 kwa bei ya jumla. Naomba mnielekeze viwanda hapa dar ea salaam, napoweza kupata kwa haraka. Asanteni
Habari wakuu.
Nafundisha accounting Packages mbalimbali kwa watumiaji na supporters. Hii ni pamoja na Sage evolution, Pastel Partner, premier payroll, Tally na Sage HR.
Elfu themanini kwa kila...
*soma kwa makini ufaidike* mim nauza Brevis ya mwaka 2005 cc 2500 vvti ingine size 10 haidawa ina insurance comprehensive bhado mpyaaa mteja lazima anunue bei ni milion 9.5 kwangu Ongeza cha juu...
Bei Tsh Milioni 70
Kuna Document ya Serikali ya Mtaa( Liseni Ya Makazi)
Zipo nyumba Mbili mbili Sehemu Moja, Nyumba Kubwa ya vyumba3 na ndogo ya Chumba kimoja ambayo haijamaliziwa.
Tuwasiliane...
Ukubwa wa kiwanja ni 700Mita za Mraba.
Kiwanja kipo eneo la Makazi, hakijapimwa, unaruhusiwa kuleta Mtafiti wa ardhi kukiangalia kimekaaje.
Kiwanja kipo eneo zuri, barabara ni nzuri hadi kwenye...
Key Features
Model: 43UF680
ULTRA HD 4K Resolution
Triple XD Engine
WI-FI built in
LAN
Lg store apps
Full Web Browser
Smart TV with webOS
Ultra HD 4K Streaming
4K Upscaler
IPS 4K Panel
Magic...
1. Nyumba ipo Tabata Kisukulu, Wilaya ya Ilala, jijini Dar Es Salaam
2. Nyumba ipo plot no 1215, Block A
3. Eneo lote linaukubwa wa mita za mraba 1072.
4. Ina hati ya miaka 33
5. Ni nyumba ya...
Kwa atakae hitaji kiwanja kwa ajili ya Biashara, kuweka frem za maduka, nyumba ya kuishi au nyumba ya Biashara(Appartment). Kiwanja kilicho pimwa na kina hati, chenye ukubwa wa 60-60 Meters. Kipo...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza,
Natafuta kiwanja maeneo hayo,
Kiwanja kiwe kimepimwa,kiwe na hati ya serikali.
Ukubwa kuanzia sq mtrs 1000 na kuendelea.
Kiwe tambarare kabisa.
Kiwe...
Hizi ndio bei za uchimbaji kisima kutoka Tawa Water Proffesional
1: Shillingi elfu sitini kwa mita (60000 tsh) moja...hapo tunakuwekea bomba (pvc) pamoja na pampu. Hiyo bei ni kwa maeneo...
Eneo jipya lipo karibu na uwanja wa Azam. Kuna nyumba vyumba vi4. Viwili self contained, siting room, Jiko, uwanja mkubwa na mabanda yakufugia kuku hata elf3.Eneo lote limewekewa fence. Kuna...
Hello Everyone
Are you in any of the following sectors?
*Power
*Property
*Health Care
*Education
*Agribusiness and more (etc)
Do you have a profit making organization/company? Are you looking...
Habari zenu wote?
Mafundi bomba(plumbers) wanapatikana ni mafundi wenye elimu na uzoefu wa kutosha kwenye fani hiyo.
Endapo unahitaji kufanyiwa michoro na kuwekewa mfumo wa maji kwenye nyumba...