Conrad84
Senior Member
- Feb 14, 2016
- 104
- 43
Tusafiri pamoja kutembelea mji wa kale wa Bagamoyo Jumamosi ya tarehe 24/9 kwa gharama ya shilingi 15,000/- tu ikijumuhisha Nauli ya kwenda na kurudi, gharama ya mwongozaji (guide) na breakfast. Safari itaanzia Ubungo saa1 asubuhi. Ni safari ya Kilometa 47/ saa1 kutoka Dar es salaam.
# Eng
How many of you would like to have this tour with us?
Book your Seat today! 0763 553 888/0672 514 440
Email; safaripamoja@gmail.com
Facebook: safaripamojatz