Nahitaji kutengeneza Tangazo/Bango la kitambaa

Nahitaji kutengeneza Tangazo/Bango la kitambaa

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Hallo.

Nahitaji kutengeneza Bango Sio la Biashara, hapana. TANGAZO/NOTICE. Lenye Maneno kama 20.

Material yatakayo tumika ni kitambaa tu.

Naomba Mwenye kufanya mambo ya Graphic designing anipe Gharama yake.
 
Maneno 20 si machache kwa notice.
Kwa uzuri wa muonekano ni bora machine printed bango.
Ukubwa wake unataka mita ngapi kwa ngapi?
 
Back
Top Bottom