Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,704
.....................................thread deleted....
Ni pm, nikupatie mkopo fasta.Wadau habari zenu, nahitaji mkopo mdogo wa laki moja nitalipa 130,000 mwisho wa mwezi nimepata emergency dhamana naweka laptop. Pia laptop hiyo inauzwa bei nzuri,nitaweka specifications zake soon
aku mp? Menstrual period au member of parliamentNi mp, nikupatie mkopo fasta.
bado unayo mkuu,dar upo maeneo gani nikukope fasta utatue shida yakoKuna mtu anajipanga kwa tatizo la ghafla?
Weka picha ya hiyo laptop tuione ina hari gani?Wadau habari zenu, nahitaji mkopo mdogo wa laki moja nitalipa 130,000 mwisho wa mwezi nimepata emergency dhamana naweka laptop. Pia laptop hiyo inauzwa bei nzuri,nitaweka specifications zake soon
Namba yko ya cmWeka picha ya hiyo laptop tuione ina hari gani?
Namba yangu ya nn wewe kwani wewe ndio mleta mada?Namba yko ya cm