miss confidence
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 393
- 273
Habari wanajamvi Mimi nipo mwanza ninashida Na smart phone mpyaaa nina laki Na nusu.... msaada please ni cmu Gani nzuri nitaipata kwa hii pesa yangu???
Ni pmHabari wanajamvi Mimi nipo mwanza ninashida Na smart phone mpyaaa nina laki Na nusu.... msaada please ni cmu Gani nzuri nitaipata kwa hii pesa yangu???
Habari wanajamvi Mimi nipo mwanza ninashida Na smart phone mpyaaa nina laki Na nusu.... msaada please ni cmu Gani nzuri nitaipata kwa hii pesa yangu???
Nashukuru sana mkuuS2 sishauri sana otherwise kama una elf thelathini nyingine ya power bank.
Waweza ongeza hio elfu 30 katika hela ulionayo uwe na jumla 180,000/= then ununue tecno w4 ambayo ina latest android version 6.0, iko poa sana na inavyokaa na charge lazma utaleta mrejesho humu!
Generally, sishauri ununue simu used kwa kiwango cha pesa ulichonacho. Fanya opportunity cost hapo!
S2 sishauri sana otherwise kama una elf thelathini nyingine ya power bank.
Waweza ongeza hio elfu 30 katika hela ulionayo uwe na jumla 180,000/= then ununue tecno w4 ambayo ina latest android version 6.0, iko poa sana na inavyokaa na charge lazma utaleta mrejesho humu!
Generally, sishauri ununue simu used kwa kiwango cha pesa ulichonacho. Fanya opportunity cost hapo!
Hizo sijabahatika kuzitumia mkuu msema kweli ni mpenzi wa mungu!Mkuu hivi hizi droidpad za tecno ziko vizuri kiongozi...?
Hizo sijabahatika kuzitumia mkuu msema kweli ni mpenzi wa mungu!
w4 ina 2500mAh Li-Ion battery, internal ni 16GB na RAM ni 1GB bila kusahau main camera ni 8MP.Ni kweli kabisa kiongozi umenena vyema ndugu yangu.
Hizo w4 zina mah ngapi pamoja na internal na ram kiongozi...?
Shukran.
simu za tecno zinakaa sana na chaji, samsung iphone ni shida
w4 ina 2500mAh Li-Ion battery, internal ni 16GB na RAM ni 1GB bila kusahau main camera ni 8MP.
That's great wangeipa 3000mah ingekuwa vyema kabisa ila hata hiyo si mbaya pia.
Bado nipo kwenye ushauri kuona ni simu gani itafaa kwa budget tajwa iliyopo.
Usemalo lina ukweli kwa asilimia nyingi kabisa kaka nimeshaskia hii kauli kwa watumiaji wa hizo simu wakisema usemavyo labda hutegemea na aina ya simu pia.
Halaf humu jukwaani si wapo wawakilishi wa tecnotz hivi, au...?.
Licha ya hio but still ina deliver mkuu, yani saa 2 usiku inafika bila shida hata kama we ni mtu wa kuchat sana halafu ka w4 kapo na sleek design yani huwezi amini kilivyo slim na muonekano wa kuvutia! kioo ni 5.0 inches.
Hapana shaka mkuu, kila la heri.Umenishawishi kuinunua hii simu mkuu nadhani yaweza kuwa ni pendekezo sahihi kama hatatokea mdau mwengine kutupa maoni mbadala.
Shukran sana.
Yeah mi siwapigi chapuo hawa jamaa ila nimeshatumia simu zao mara kadhaa hazijawahi kuniletea jam yoyote, pia zinavumilia sana charge halafu hazinaga ile tabia ya kupata moto. Kwa battery optimization they are really good sir tofauti na masimu yenye majina makubwa ukiachilia Lenovo, Sony na baadhi ya Motorola.