Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jamani hivi flash Doors ndo milango gani jamani na ubora wake upoje, naombenikujuzwa wapenzi!
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu, Aman ya bwana iwe juu yenu. Naomba kuuliza bei ya soko la gari tajwa hapo kwenye Topic. Plate number APT, km zake ni 100670
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Natafuta tender ya kusafirisha mizigo kutoka Arusha/ Moshi, Nina gari semi trailers 2 za tonne 30 zinazokuja Dar kila wiki. Bei kwa tonne ni maelewano, kwa mawasiliano Zaidi ni pm au piga namba...
1 Reactions
0 Replies
705 Views
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tubadilishane LG G4 Stylus na i phone 6. Naongeza na pesa. N.B The deal is not viable on Android phines. Call 0732 000 001
0 Reactions
0 Replies
513 Views
Karibu happiness www.happinessmassage.blogspot.com Tuna dawa za aina mbalimbali.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakubwa natafta room maeneo ya kinondon mfano studio,mkwajuni,vijana,kinondon B au Biafra lkn iwe jiran na barabara nikipata chumba na sebule itakua poa sana ila kodi isizidi 100000 ukipata...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
SLIM & TRIMS 1; PRO-SLIM TEA * Accelerates metabolism and degradation of fat * Burn fat as fuel to reduce the lipid content of the body * Reduce absorption of dietary fat and helps lose weight...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Faida zakutumia pedi za BF-Suma (Guardian Angel Night & Day Sanitary); * Inazuai mionzi ya simu na aina yoyote ya umeme. * Inatibu magonjwa ya kuambiza kwa njia ya ngono (Isippkuwa ukimwi) *...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau habarini za jioni, nauza simu aina tatu za samsung, s3,s4 na galax grand duos. Ni simu mpya kabisa zimeingia leo. Hizi simu nauzia nyumban au mkononi kwa maana haziko dukani maana kupata...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiwa kipo karibu na hospitali ya tumbi kuina ukubwa wa heka moja kipo karibu na barabara. BEI SH 4500000
0 Reactions
57 Replies
8K Views
Natumaini Mpo salama... Nauza king'amuzi changu cha Continental cha Antena kwa bei rahisi sana. Cheki me kama wahitaji
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa wale wakazi wa KAGERA-BUKOBA na maeneo jirani... waweza kupata huduma za 1.installations of Microsoft windows and Debian 2.web-hosting with best 5 customizing web-hosting panels 3.Dbmsecurity...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
Vitz inauzwa. Vvti petrol engine. Cc 990. Comprehensive insurance. Milion 7 laki 4. Gari nzuri sana na ni yangu mwenyewe.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
50, 000/= 0654 796047 0625 645166
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Nahitaji sehemu ya ku print business cards kwa ubora wa hali ya juuuuu saaaaana na sio kubahatisha, napata tabu sana na wateja wangu wanaona design kali alafu nacho waletea tofauti kabisa. Kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mahitaji ya viwanja, vilivyopimwa Na ambavyo havijapimwa, nyumba zakununua Tegeta Kibaoni WhatsApp/Call 0715476787
0 Reactions
0 Replies
993 Views
Wakuu heshima kwenu. Nina m8 nahitaji gari zifuatazo kama utawezekana. Premio new model no. C au D. Raum new model no.Cau D. spacio new model no. C au D. Vitz new model no C au D. Zote hizo ziwe...
0 Reactions
6 Replies
717 Views
Habari za muda huu, ninatafuta nyumba nzima ya kupanga kwa ajili ya Ofisi. Eneo: Sinza, Mwenge, Kijitonyama, Survey, Ubungo na Kinondoni na maeneo ya karibu na maeneo tajwa. Ukubwa: vyumba vinne...
0 Reactions
1 Replies
795 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…