Karibu Happiness massage services

Karibu Happiness massage services

Biashara haitangazwi namna hii dada yangu. Hebu waza kidogo kama mteja halafu urudi tena.
 
Kama kuna warembo hapo ntakuja tu sitojali huduma zenu
 
hayo maelezo ungeyatoa kwa ufupi tu ingeleta shida gan

1.jina la offfice
2.location
3.service yenu
4. Gharama za Service yenu
5.mawasliano yenu

hvyo vitu hapo vinakupa shida gan mpaka utupeleke kwenye blogspot yako
 
Unafikiri wateja wana muda wa kusoma makala ndefu kwenye blog yako. Mara historia ya massage ya kazi gani kwangu. Toa tangazo rahisi fupi inayoeleweka. Nyie ndo mnafanya hata Rais afikirie kuchukua watalaam kutoka Rwanda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom