So si yakusogelea kabisa, sasa kama haiitaji maji mbona wanauza bei kubwa hivyo?Inaitwa *flush* si flash. Hii ni milamgo miepesi si migumu. Ni mizuri kwa matumizi ya ndani tu maeneo ambayo hayafiki maji kwani huaribika haraka na maji. Milango hii katikati inauwazi..imetengenezwa kwa plywood na mbao kidogo.